OFA YA KURUDISHA HUD...
OFA YA KURUDISHA HUDUMA YA MAJI BILA FAINI
10 Oct, 2024

MUWASA   inawatangazia Ofa maalum wateja waliokatwa huduma ya maji, kuwa wanaweza kurejesha huduma hiyo bure bila kutozwa Faini. Ofa hii imeanza tarehe 7 Oktoba hadi 31 Oktoba, katika Wiki ya Huduma kwa Wateja. Hii ni nafasi adhimu kwa wateja kuanza tena kufurahia huduma ya Majisafi na salama bila gharama ya ziada.

Mamlaka inawaomba Wateja wote kufika ofisi za MUWASA za kanda husika au vituo vyetu vya Huduma kwa wateja vilivyo mitaani kwa Huduma  zaidi.