TAARIFA YA UKOSEFU W...
TAARIFA YA UKOSEFU WA HUDUMA YA MAJI MUSOMA
04 Oct, 2024

MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MUSOMA (MUWASA)

Taarifa kwa Umma:

YAH: UKOSEFU WA HUDUMA YA MAJI 

MUWASA inawatangazia Wateja wake kuwa kuna ukosefu wa huduma ya Maji leo tarehe 04.10.2024 kutokana na maunganisho ya bomba kubwa la kupeleka maji Nyegina.

Maeneo yatakayoathirika ni baadhi ya maeneo ya Buhare, Mkirira, Kiara,  kwangwa, Nyabisare, Bweri Bukoba, Songambele na Nyabange.

Huduma itarejea mara baada ya matengenezo kukamilika

MUWASA inaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.

Tangazo hili limetolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma leo tarehe17.08.2024