Ujenzi chujio dogo l...
Ujenzi chujio dogo la maji Tarime Mjini.
14 Aug, 2024
Ujenzi chujio dogo la maji Tarime Mjini.

Kazi ya kujenga kuta za chujio dogo la maji katika Chemchemi ya Nyandurumo Mjini Tarime. Mradi huu, unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA), unajengwa kwa ufadhili wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji na umekusudia kuongeza ubora wa maji yanayopatikana katika Mji wa Tarime.