Matengenezo ya miund...
Matengenezo ya miundombinu ya maji Kanda Tarime
03 Oct, 2024
Matengenezo ya miundombinu ya maji Kanda Tarime

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA) kanda ya Tarime wakiendelea na matengenezo ya bomba 4" eneo la Gimenya na bomba ya 3" eneo la Sabasaba Zaka.

Matengenezo haya ni jitihada za MUWASA kuhakikisha wananchi na wateja kwa ujumla watapata huduma ya maji safi endelevu wakati wote.