Meya wa Manispaa ya Musoma aipongeza MUWASA
04 Nov, 2024
SERENGETI MARA INTERNATIONAL TOURISM FAIR
Siku ya mwisho ya Maonyesho ya Kimataifa ya Serengeti Mara imekamilika kwa furaha, ambapo Meya wa Manispaa ya Musoma amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa MUWASA kwa maendeleo makubwa katika huduma za maji. Pia, Meya ameishukuru MUWASA kwa kazi nzuri wanayofanya kwa wananchi wa Musoma. Tumepokea Cheti cha Ushiriki katika maonyesho haya, ishara ya kutambua mchango wetu katika jamii.