Mwenge wa Uhuru 2025 watembelea Mradi wa Upandaji Miti Rafiki wa Maji
17 Aug, 2025

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa ndugu Ismail Ali Ussi akipanda mti rafiki wa maji ikiwa ni ishara ya kuridhishwa na mradi wa Upandaji miti rafiki wa maji.
Upandaji wa mti huo ulifanyika katika eneo la chanzo cha maji Bukanga.
Miti zaidi ya 5000 ilipandwa katika eneo hilo la chanzo cha maji KWA lengo la kuhifadhi na kulinda vyanzo vya maji ikiwa ni pamoja na utunzaji wa Mazingira.